THE CynoCity..the home of UNIQUE LOGO DESIGNS



Monday, February 20, 2012

The RETURN of MORANI

finally the long waited logo 'MORANI' imeanza kua printed on t-shirts this weekend
Hii inamaanisha upatikanaji wake kwa wateja wetu ni pamoja na brand zingine
ikiwa ni miezi kadhaa ya kusubiri tangu itangazwe sasa imeingia rasmi sokoni
kuongeza idadi ya logo zetu zenye muonekano wa tofauti with the same WAP principle! 
N.B stay tunned 4  the LOUNCHING PARTY of this logo SOON!
4 p Delivery contact the C.E.O Franzano via..0712 246589 or via our page co-hosted with Jhk.Ent..in facebook!

Saturday, November 5, 2011


Jesse V/S Jesse....the Duos makin it happenin all the way from Cyno City!

Monday, October 3, 2011

SAFARI


Latest logo launched 3 days ago...safari ni hatua moja baada ya nyengine na kama logo inavyojieleza..hakuna safari pasipo hatua..T shet hizi tayari zipo sokoni na usisite kuwasiliana na sisi unapohitaji ya kwako kwa 10000..!

Tuesday, September 20, 2011

MORANI...

Logo mpya imeingia sokoni..inakwenda kwa jina la morani..!baada ya ku SKIZA SWAHILI CLASSICS huko NINAKOTOKA..ninakutana na MORANI wa ukweli..ameingia mjini na kama unavyomuona hajaiacha ngao yake na mkuki wake na yuko tayari kumuwinda simba kokote aliko...Brand hii si ya kukosa bei yetu ni ile ile 10000@1 tshet...mfikishe morani huyu kila kona ya mji kwa bei hiyo..jaza form iliyoko kulia kwako ili kupata bidhaa hii au contact direct na mimi kwa kuacha comment!