THE CynoCity..the home of UNIQUE LOGO DESIGNSSaturday, June 21, 2014

We are back!

Baada ya kimya cha miezi saba..hatimaye The CynoCity tumerudi na tuko tayari kufanya kile ambacho tumekuwa tuki kifanya kwa miaka minne sasa! kuanzia mwezi wa sita mwishoni tutaanza kutoa logo mpya ambazo tumekua tukiziandaa kwa muda mrefu sasa..mtazamo wa logo haujabadilika ni za kipekee na zenye muonekano mzuri....STAY TUNED!

Monday, November 18, 2013

Thursday, May 23, 2013

Shotz from customers..they pay the BILLZ we do the DEAL

SHOT from Eddy in HIP HOP KWANZA... in cynocity kupendeza ni guarantee!

Sunday, March 17, 2013

Kickin MARCH like never before @ cynocity

Logo nzuri na za kipeke & high quality T-SHIRTS kwa bei ndogo...Ndio zetu..mzigo mwengine HOT umedondoka mitaani kama kawiz send your order  via 0712 246589..jumla au rejareja..tuchek pia facebook page yetu 'Jhk Ent' kwa updates za logo mpya na mawasiliano zaid..!

Sunday, February 24, 2013

Che MAPINDUZI, Che Revolution

as the february ends adventures begins...our next logo is che mapinduzi! paying our tribute to one of greatest. ERNESTO CHE GUEVARA our hotline for pressing orders for t shirts of any colour and size is  0712 246589 as usual.! @15000 tshs  or $10 for home delivery services

Wednesday, January 23, 2013

NEW YEAR WITH A NEW PACKAGEMKWANZANIA V/S AFRICAN DREAM V/S 255 DIVAS

Tuesday, December 11, 2012

MKWANZANIA..since 1961

'
"Himaya hii ya wakwanzania wote karibuni"by tz's Hip Hop Legendary Zavara in the well known track by kwanza Unit "msafiri" MKWANZANIA its another patriotic brand launched today on 11th december get your copy via 0712 246589..the sole distributer of cynocity products!