THE CynoCity..the home of UNIQUE LOGO DESIGNSTuesday, March 22, 2011


N HERE COMES OUR NEW LOGO...!

....NINAKOTOKA....!


..Logo hii ni muendelezo wa SKIZA..ambayo ndiyo ilikua ya kwanza kutoka..watu wengi wanaweza shangaa ujumbe ambao unakua unabebwa katika logo hizi sababu hazitoi picha kamili ya kinachozungumzwa na maandishi..lakini kwa upande wangu huu ndio utofauti ninaouleta kati ya logo zangu na za watu wengine..nusu ya ujumbe utaipata katika mchoro na iliyobaki ipo katika maandishi ..WAP yaani words and pictures!