THE CynoCity..the home of UNIQUE LOGO DESIGNSSaturday, June 21, 2014

We are back!

Baada ya kimya cha miezi saba..hatimaye The CynoCity tumerudi na tuko tayari kufanya kile ambacho tumekuwa tuki kifanya kwa miaka minne sasa! kuanzia mwezi wa sita mwishoni tutaanza kutoa logo mpya ambazo tumekua tukiziandaa kwa muda mrefu sasa..mtazamo wa logo haujabadilika ni za kipekee na zenye muonekano mzuri....STAY TUNED!